MASWALI YA MWISHO KABISA NA JAWABU ZAKE
- hadi kufia leo, ni watu gani walio weza kusimama mbele ya shetani, na walitumia njia gani katika kupambana naye? 846 2012/06/17Kwa mtazamo wa Qur-ani ni kwamba: shetani hana uwezo wa kuwamiliki na kuwadhibiti wacha Mungu wenye ikhlasi na Mola wao. Wacha Mungu wenye ikhlasi, ni wale walio ifikia daraja maalumu ya ucha Mungu, jambo ambalo huwa ndiyo ngao iwalindayo kutokana na shetani. Kupambana na shetani kunahitajia zana na silaha maalumu, na ...
- nini hukumu ya kufuga njiwa ndani ya sheria za Kiislamu? Na nini msingi hasa wa hukumu hiyo? 971 Sheria na hukumu 2012/06/17Tukilitazama suala la kufunga njiwa kibinafsi, tutalikutia kuwa suala hili halina matatizo na ni halali. Lakini pale sisi tutapolimbatanisha suala hili na haki za majirani au wanajamii, hapo tunaweza kulipa picha ya uhalali au uharamu kwa jinsi hali za jamii mbali mbali zinavyolitazama suala hilo. Baadhi ya wafugaji njiwa huwa ...
- kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)? 1231 Tabia kimtazamo 2012/06/17Neno (tabia) linatokana na neno la Kiarabu (اخلاق) ambalo ni umoja wa neno (خُلْق) lenye maana ya tabia, nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ya sifa na tabia mbaya na zile sifa njema. Wataalamu wa elimu ya tabia (saikolojia) na wanafalsafa ...
- je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera? 803 Sheria na hukumu 2012/06/17Kwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipenda dunia na kuyasahau maisha ya Akhera, dlakini mtu anaweza akawa na aina mbili za kazi huku yeye ...
- ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni? 785 Tabia kimatendo 2012/06/17Uislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu, kama vile zilivyo fanya dini nyengine, kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake, au mahitajio ya kilimwengu tu. Uislamu umeshika njia ya kati na kati, na mtizamo wa Uislamu ni kwamba: kufaidika na neema mbali mbali ...
- vipi madhehebu manne ya Ahlu-Sunna yalipatikana, na ilikuwaje mlango wa ijitihadi wa madhehebu hayo ukafungwa? 959 Sheria na hukumu 2012/06/17Mafunzo na fiqhi ya Kiislamu yaligawika sehemu mbili tokea ndani ya kipindi cha mwanzo cha tarehe ya Kiislamu baada tu ya kufariki Mtume (s.a.w.w), kipindi ambacho kilikuwa ni kipindi cha mzozo katika suala la nani ashike ukhalifa baada ya Mtume (s.a.w.w), hapo kukazaliwa aina mbili za fiqhi: ya kwanza ni ...
- je hivi mnaweza mkanipatia baadhi ya Riwaya zenye kukataza kuwepo kwa mahusiano baina ya msichana na mvulana? 803 Sheria na hukumu 2012/06/17Msichana na mvulana wanaweza kuwa na aina mbali mbali za mahusiano ndani ya jamii ya wanaadamu, na bila shaka baadhi ya mahusiano hayo huwa si mahusiano salama na si halali. Kwa kweli swali lililo ulizwa na muulizaji wetu, ni swali lisilokuwa la wazi, lakini sisi tutalijibu swali hili kupitia aina ...
- ndani ya vitabu vya fiqhi katika ibara inayohusiana na utoharikaji na usafikaji wa vitu kamavile kuta, majengo pamoja na ardhi, kumeandikwa ibara isemayo: ili jua liweza kuitoharisha na kuisafisha ardhi au kuta za jengo fulani kutokana na najisi fulani, inabidi zizingatiwe sharti maalumu, nazo ni kwamba: hakutakiwi kuwepo kuzuizi juu ... 743 Sheria na hukumu 2012/06/17Ufafanuzi juu ya swali lako ni kwamba: jua ni moja kati ya vitu vyenye kutoharisha, na miongoni mwa vitu vyenye kutoharishwa na jua ni: ardhi pamoja na kuta za nyumba.[i] Ili jua liweze kutoharisha ardhi na pamoja na zile kuta za nyumba zilizonajisika, ni lazima kuwe hakuna kizuizi juu ya ardhi ...
- katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi? 795 Sheria na hukumu 2012/06/17Jawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei (Mungu amhifadhi) yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi, imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwanamke alimuakilisha mwanamme huyo kuisoma na kuinuia ndoa, pamoja na kumpa yeye uwakili wa kuainisha mahari pamoja na muda wa ndoa hiyo, ndoa ...
- iwapo kwenye ngozi ya mwanamke kutakuwa na alama au athari fulani, je inajuzu mke huyo kuifanyia upresheni ngozi ya mwili wake baada ya mumewe kuliridhia jambo hilo? Kwani katika zama zetu hizi ni rahisi kuziondoa alama hizo kupitia kifaa maalumu chenye mwanga, mwanga ambao huwa unafanya kazi ya kuzifuta alama ... 738 Sheria na hukumu 2012/06/17Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei (Mungu amhifadhi) yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi, imetoa jawabu hii: Iwapo wewe utakuwa katika mashaka makubwa kwa kutokana na kuwa na aina hiyo ya ngozi, basi unaruhusiwa kufanya upresheni kwa ajili ya kuitibu ngozi yako. Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Makaarim Shirazi (Mungu amhifadhi) ...
- je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia? 732 Sheria na hukumu 2012/06/17Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei (Mungu amhifadhi): Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo, basi jambo hilo halitofaa kutendwa. Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Mahdi Hadawiy Tehraniy (Mungu amhifadhi), ni kama ifuatavyo: Iwapo kutatumika njia maalumu katika kumfunga mimba mnyama huyo, njia ambayo itakuwa si ...
- ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo? 850 Tafsiri 2012/06/17Kilugha panapotumika neno Imani au itikadi, humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki, na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kusadiki na kuamini jambo fulani kimatamshi, kimoyo pamoja na kimatendo, lakini neno utulivu ambalo ni tafsiri ya neno "اطمینان" lililoko ...
- kwa mtazamao wa Kiislamu, mwanaadamu ni kiumbe gani? 1094 Elimu mpya ya Akida 2012/05/26Kwa mtazamo wa Qur-ani, mwanaadamu ni kiumbe aliyebeba sifa mbili tofauti za kimaumbile, moja ni ile inayotokana na maumbile aliyopewa tokea mwanzo kutoka kwa Mola wake, nayo ni maumbile ya kiroho, na ya pili inatokana na maumbile ya kiwiliwili alichonacho. Maumbile asili ya kiroho (kifitra), huwa ni yenye kiu ya ...
- maadili mema yana nafasi gani kwenye uwanja wa mazoezi? 836 Tabia kimatendo 2012/05/23Uisalmu ni dini kamili iliyokusanya ndani yake mfumo kamili na salama wenye kutoa muelekeo wa kiutendaji kuhusiana na kipengele kimoja kimoja miongoni mwa vile vipengele vinavyo husiana na maisha ya mwanaadamu. Uislamu haukuliweka nyuma suala la afya ya mwili wa kila mmoja wetu. Kwa hiyo Uislamu ni wenye kuunga mkono ...
- nini maana ya ucha Mungu? 1065 Tabia kimtazamo 2012/05/23Taqwa (ucha Mungu) ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu, nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfanya mtu kujiepusha na maasi yanayo eleweka na kila mmoja wetu, pamoja na kujiepusha na yale yote yanayo dhaniwa ...
- kuna njia gani za kujenga urafiki na Qur-ani zitakazo mfanya mtu azoeane na Qur-ani? 825 Tabia kimatendo 2012/05/23Kama mtu atakaye isoma Qur-ani kwa nia ya kutafuta radhi za Mola wake, huku yeye akawa anaisoma Qur-ani hiyo kwa makini na kuitafakari vilivyo, basi Qur-ani iatamvuta mtu huyo na kumfanya awe ni mpezi wake wa rohoni. ...
- kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha? 911 Tabia kimatendo 2012/05/23Uislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii, sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe, baina yao na Mola wao na baina yao na viumbe vyengine vilivyo hai na visivyo hai ulimwenguni. Na lengo hasa ...
- maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu? 852 Tabia kimatendo 2012/05/23Iwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu, kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: " وَ ما خَلَقْتُ الْجِنَّ وَ الْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ. " Maana yake ni kwamba: (Mimi (Mola) sikumuumba mwanaadamu wa jini, ila tu kwa ajili ya kuniabudu mimi). Nini maana ...
- kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi? 1089 Elimu ya zamani ya Akida 2012/05/23Wajukuu hawa wawili wa Mtume (s.a.w.w) ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi, haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana, ama wao (Imamu Hasan na Husein (a.s)) ndio watakaong’ara zaidi katika wale vijana waliouwawa katika njia ya Mola, au wale waliofariki katika ...
- hivi ni kwa nini Imamu Ali (a.s), hakuamua kilinda nafsi yake mbele ya adui yake (Ibnu Muljim), hali ya kuwa Yeye (a.s) alikuwa akielewa vyema nia ya adui huyo? 1026 Elimu ya zamani ya Akida 2012/05/23Jawabu kamili ya swali hili yaweza kukamilika kuvitambua vipengele vifuatavyo: Vigezo halisi kwa mja katika utendaji wa amali na nyadhifa zake zinazomfungamanisha na wanajamii mbali mbali, ni ile elimu yake ya kawaida. Imamu (a.s) huwa hatumii nguvu zake za ndani zinazotokana na utukufu wa roho yake ambazo ni zenye kushikamana na ulimwengu ...

