advanced Search

HAZINA YA MASWALI (MPANGILIO WA KIMAUDHUI:Tabia kimtazamo)

 • kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)?
  8347 2012/06/17 Tabia kimtazamo
  Neno (tabia) linatokana na neno la Kiarabu (اخلاق) ambalo ni umoja wa neno (خُلْق) lenye maana ya tabia, nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ...
 • nini maana ya ucha Mungu?
  4555 2012/05/23 Tabia kimtazamo
  Taqwa (ucha Mungu) ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu, nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfanya ...
 • nini maana ya itikafu
  5133 2012/05/23 Tabia kimtazamo
  Neno (itikafu) kilugha, huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu, huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo, lakini neno hili kitaalamu (kwenye ...
 • kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
  4647 2012/05/23 Tabia kimtazamo
  Neno Tharu-Llahi (ثار الله) limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu, na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika ...

MPANGILIO WA KIMAUDHUI

MASWALI KIHOLELA

YALIYOSOMWA ZAIDI

MAFUNGAMANO