advanced Search
Item hakuonekana

MPANGILIO WA KIMAUDHUI

MASWALI KIHOLELA

 • nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
  1842 تاريخ بزرگان 2012/05/23
  Waandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala, hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein (a.s), bali walichokielezea ni kuwa, farasi huyu alijipakaa damu ya Imamu Husein (a.s), kisha akaelekea kwenye mahema huku akitoa sauti kali yenye kuashiria huzuni na hasira. Watu wa nyumbani kwake ...
 • Apakah para imam maksum (a.s) bermutʽah (perkahwinan sementara)?
  578 Nyenendo za Waliotakaswa (a.s) 2014/04/20
  Perkahwinan sementara merupakan salah satu daripada sunnah-sunnah Islam yang telah diumumkan di dalam al-Qur’an[i] dan orang beriman boleh memanfaatkan perkahwinan ini sekiranya memerlukan dan menghendakinya. Sunnah yang baik ini terjadi di zaman Rasullah (s.a.w), khalifah pertama dan sebahagian dari zaman pemerintahan khalifah kedua sehinggalah khalifah kedua tersebut mengharamkannya. Para imam ...
 • je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
  1939 تاريخ بزرگان 2012/05/23
  Katika tokeo muhimu la Karbala, kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong’ara, na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo, lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote za watoto hao. Lakini mmoja miongononi mwa watoto waliotajwa na Tarehe, ni Ruqayya mwana wa Husein bin Ali ...
 • je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
  2263 Sheria na hukumu 2012/05/23
  Mtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri, huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu, naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri, mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili ya wale wote anaowahudumia, na kiwango cha kila mmoja ni kiasi cha kilo tatu za ngano, ...
 • nini hukumu ya kupiga sindano ya nguvu au kutia maji ya nguvu (Intravenous injection) mwilini ndani ya Ramadhani?
  1974 Sheria na hukumu 2012/05/23
  Wanazuoni wamekhitalifiana kuhusiana na suala hilo. Kwa kupata jawabu tosha, ni lazima utuambie kuwa wewe ni mfuasi wa mwanazuoni gani? Ili tuweze kukupa jawabu makini zaidi. Kwa vyovyote vile mitazamo ya baadhi ya wanazuoni wetu ni kama iuatavyo: Bahjat (r.a) na Khameneiy (Mungu amuhifadhi), wanasema: iwapo sindano hizo zitakuwa ni kwa ...
 • je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
  2894 Elimu ya zamani ya Akida 2012/05/23
  Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba, majina ya matano ya Aali Abaa (a.s), yaani Aali wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), ambao ni: Ali, Fatima,Hasan na Husein, yametajwa ndani ya Taurati na Injili. Pia suala hilo linaonekana kuashiriwa ndani ya ile Hadithi yenye kunukuu majadilianao ya kielimu yalipita ...
 • kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
  1682 تاريخ بزرگان 2012/05/23
  Suala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab (a.s) yaliyosema: “Ewe Muhmmad (s.a.w.w), wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka, na wanao wa kiume wameuwawa, na upepo unavuma juu ya miili yao, na huyo hapo Husein (a.s) yupo chini hali akiwa amekatwa kichwa kwa kisogoni…”[1] 2- Kutoka kwa ...
 • nini maana ya usemi usemao kuwa: kumzuru Imamu Husein (a.s) ni sawa na kumzuru Mola kwenye Arshi yake”?
  3076 Elimu ya zamani ya Akida 2012/05/23
  Imamu Husein bin Ali (a.s) ambaye ni Imamu wa tatu wa Kishia, ni mtu mwenye fadhila kubwa mbele ya Mola wake, na fadhila hizo amezipata kwa kutokana na malengo yake, matendo, kutojitanguliza mbele katika maslahi ya jamii yake pamoja na kule kujitoa keake muhanga kwa ajili ya dini na manufaa ...
 • je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
  3155 Sheria na hukumu 2012/05/23
  Mtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi, lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura, kama vile dharura ya kuota, siyo la kupiga ponyeto au kujamii. Kukoga janaba kabla ya dhana ya asubuhi: Kauli ya imam ...
 • je dini na siasa ni vyenye kuendana au vyapingana?
  2011 Elimu mpya ya Akida 2012/05/23
  Dini ni chombo maalumu kilichokuja kumkomboa mwanaadamu na kumuongoza katika njia ya mafanikio, hivyo basi ni jambo lisiloingia akilini kuwa chombo hichi kiwe ni chenye kulipa mgongo jambo muhimu linalohitajika ndani ya jamii mbali mbali, kama vile suala la usimamishaji wa serikali. Na kwa upande mwengine ni kwamba, mjengeko na ...

YALIYOSOMWA ZAIDI

MAFUNGAMANO