HAZINA YA MASWALI (MPANGILIO WA KIMAUDHUI:Nyenendo za wanazuoni)
- hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu? 696 2012/05/23 Nyenendo za wanazuoniImamu Husein (a.s) pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala, walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita, kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita, pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara ...

