HAZINA YA MASWALI(STIKA:majini)
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
12237 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof