HAZINA YA MASWALI(STIKA:maombolezo)
-
ni kwa nini maombolezo ya Imamu Husein (a.s), yakapewa jina la Raudha?
10383 2012/05/23 تاريخ کلامNeno Raudha ni neno maalumu linalotumiwa na waombolezaji wa mwauwaji ya Imamu Husein a.s na neno hili linatoka kwenye kitabu maarufu cha maombolezo ya Imamu Husein a.s kijulikanacho kwa jina la Raud
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
14488 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel