HAZINA YA MASWALI(STIKA:siku thalathini)
-
je ndani ya hadithi kuna ushahidi wowote unaoelezea kuwa Ramadhani ni siku tahalathini?
9977 2012/05/23 Elimu ya HadithiKila mwaka wa Hijiria kwa kawaida huwa una miezi kumi na mbili na masiku ya miezi huwa yanahesabiwa kwa kuonekana kwa mwezi hii ni kanuni ya mwaka wa Hijiria ama mwaka Shamsia kwa kawaida masiku yake