HAZINA YA MASWALI(STIKA:ubora)
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15521 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaSuala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki