Please Wait
KAGUA
4814
Tarehe ya kuingizwa: 2014/11/02
KODI YA TOVUTI fa12309 NAMBARI YA HIFADHI 25106
Group دانش، مقام و توانایی های معصومان,The Recognition of Imams
STIKA mamlaka ya uongozi|Imamu|mamlaka ya kuuongoza ulimwengu kimaumbile|mamlaka ya kuongoza ulimwengu na walimwengu kisheria
Summary Maswali
nyinyi mna mtazamo gani kuhusiana na mamlaka na utawala wa Maimamu (a.s) juu ya nafsi za muumini? Je hivi Imamu (a.s) anaweza kuisarifu nafsi ya muumini fulani na kuilelekeza kwenye njia maalumu?
SWALI
Nyinyi mna mtazamo gani kuhusiana na mamlaka na utawala wa Maimamu (a.s) juu ya nafsi za waumini? Je hivi Imamu (a.s) anaweza kuisarifu nafsi ya muumini fulani?
MUKHTASARI WA JAWABU
Ayatu-Llahi Mhdi Hadawiy Tehraniy (Mungu Amhifadhi), amelijibu swali hili kwa kusema:
Bila shaka Maimamu (a.s) ni wenye mamlaka kamili ya kuitawala na kuzisarifu za waumini, lakini kufanya hivyo huwa kunahitajia idhini ya Mola Mtukufu, hivyo basi wao (a.s) huwa hawafanyi hivyo isipokuwa kuwe na maslahi maalumu juu ya kufanya hivyo.
Mwisho wa jawabu.
Kiungo na link ya kuelekea kwenye uwanja wa maswali na majibu ya kifiqhi ni kupitia kodi yenye namba (1000).