HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:دانش، مقام و توانایی های معصومان)
-
nyinyi mna mtazamo gani kuhusiana na mamlaka na utawala wa Maimamu (a.s) juu ya nafsi za muumini? Je hivi Imamu (a.s) anaweza kuisarifu nafsi ya muumini fulani na kuilelekeza kwenye njia maalumu?
4616 2019/06/15 دانش، مقام و توانایی های معصومانAyatu-Llahi Mhdi Hadawiy Tehraniy Mungu Amhifadhi amelijibu swali hili kwa kusema: Bila shaka Maimamu a.s ni wenye mamlaka kamili ya kuitawala na kuzisarifu za waumini lakini kufanya hivyo huwa kuna
-
hivi ni kwa nini Imamu Ali (a.s), hakuamua kilinda nafsi yake mbele ya adui yake (Ibnu Muljim), hali ya kuwa Yeye (a.s) alikuwa akielewa vyema nia ya adui huyo?
9353 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaJawabu kamili ya swali hili yaweza kukamilika kuvitambua vipengele vifuatavyo: Vigezo halisi kwa mja katika utendaji wa amali na nyadhifa zake zinazomfungamanisha na wanajamii mbali mbali ni ile
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15844 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaSuala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
14930 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel