HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:امام شناسی)
-
nyinyi mna mtazamo gani kuhusiana na mamlaka na utawala wa Maimamu (a.s) juu ya nafsi za muumini? Je hivi Imamu (a.s) anaweza kuisarifu nafsi ya muumini fulani na kuilelekeza kwenye njia maalumu?
4679 2019/06/15 دانش، مقام و توانایی های معصومانAyatu-Llahi Mhdi Hadawiy Tehraniy Mungu Amhifadhi amelijibu swali hili kwa kusema: Bila shaka Maimamu a.s ni wenye mamlaka kamili ya kuitawala na kuzisarifu za waumini lakini kufanya hivyo huwa kuna