HAZINA YA MASWALI
-
kuna njia gani za kujenga urafiki na Qur-ani zitakazo mfanya mtu azoeane na Qur-ani?
12472 2012/05/23 Tabia kimatendoKama mtu atakaye isoma Qur-ani kwa nia ya kutafuta radhi za Mola wake huku yeye akawa anaisoma Qur-ani hiyo kwa makini na kuitafakari vilivyo basi Qur-ani iatamvuta mtu huyo na kumfanya awe ni mpezi w
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12253 2012/05/23 Tabia kimatendoUislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M
-
maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu?
12649 2012/05/23 Tabia kimatendoIwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: و ما خلقت الجن و الانس الا لیع
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
14269 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaWajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
hivi ni kwa nini Imamu Ali (a.s), hakuamua kilinda nafsi yake mbele ya adui yake (Ibnu Muljim), hali ya kuwa Yeye (a.s) alikuwa akielewa vyema nia ya adui huyo?
9137 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaJawabu kamili ya swali hili yaweza kukamilika kuvitambua vipengele vifuatavyo: Vigezo halisi kwa mja katika utendaji wa amali na nyadhifa zake zinazomfungamanisha na wanajamii mbali mbali ni ile
-
je kitabu cha tarehe kijulikanacho kwa jina la Taarekhu-Tabari, ni kitabu kinachoaminika?
9195 2012/05/23 تاريخ بزرگانPale kitabu fulani kinaposemekana kuwa ni chenye kuaminika huwa haimaanishi kuwa kila kilichomo ndani yake ni sahihi. Kitabu Taarikhut-Tabariy si chenye kuepukana na usemi huu bali nacho pia hakikubeb
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10180 2012/05/23 تاريخ بزرگانIngawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay
-
hivi ni kwanini baadhi ya watu katika ulimwengu wa ndoto huonekana katika umbile la kinyama, hali ya kuwa wao baadae walionekana kuwa ni miongoni mwa watu waliofaulu na kupata daraja mbali mbali za utukufu.
13660 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKuna Aya na Riwaya mbali mbali zenye kuonesha kuwa hali na sura halisi za maumbile ya baadhi ya watu ni zenye kutafautiana na lile umbile lao dhahiri wanalo onekana nalo katika ulimwengu huu wa dhahir
-
je hili shairi lisemalo: “mfalme wa wote ametupwa chini, na medali ya pambo (kichwa cha Imamu Husein) ikachokwa juu ya mshale, kichwa kile hakikuwa ni cha kawaida, bali ni shina na kibla kinachoelekewa na nyoyo zenye kufuata taa ya upendo” ambalo linadaiwa kuwa ni la Allaama Shaa’araniy, je kweli shairi hili linatokana naye?
8939 2012/05/23 تاريخ بزرگانKitabu Dam-us-sajuum ni tarjama ya kitabu maarufu cha maombolezo kinachotokana na Haaj Sheikh Abbaas Qummiyi ambaye ni muandishi wa kitabu Mafaatihul-jinaan. Kitabu Dam-us-sajuum kimepigwa chapa na ki
-
je ni kweli kuwa Imamu Hsein (a.s) alifunga ndoa na bibi Shahre-Baanu?
9430 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala la ndoa ya Imamu Husein a.s na bibi Shahre Baanu aliyetekwa na jeshi la Kiisalamu ni suala liliozungumziwa na vitabu vya historia huku likiwa na rangi mbali mbali za Ibara zenye kutofautiana baa
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12119 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P
-
ni kwa nini maombolezo ya Imamu Husein (a.s), yakapewa jina la Raudha?
10410 2012/05/23 تاريخ کلامNeno Raudha ni neno maalumu linalotumiwa na waombolezaji wa mwauwaji ya Imamu Husein a.s na neno hili linatoka kwenye kitabu maarufu cha maombolezo ya Imamu Husein a.s kijulikanacho kwa jina la Raud
-
hebu tufafanulieni umuhimu wa Hadhithi Kisaa (Hadithi ya joho)
12680 2012/05/23 Elimu ya HadithiHadhithi Kisaa Hadithi ya joho ambayo imenukuliwa ndani ya kitabu cha Sheikh Abbas Qummiy kijulikanacho kwa jina la Mafaatiihul-jinaan ni Hadithi iliyobeba ndani yake ujumbe mzito wenye umuhimu wa ain
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15500 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaSuala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
14511 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel
-
ibara ya laana yenye kuulenga ukoo wa Banu Umayya, haitoacha kumgusa mwana wa Yazidu, kwani naye ni miongoni mwa watu wa ukoo huo, vipi basi sisi tukubaliane na Ziara hiyo na kukadai kuwa ni maandilo sahihi yatokayo kwa Maimamu (a.s)?
9430 2012/05/23 Elimu ya HadithiNdani ya ibara zilizomo kwenye maandiko ya Sala na salamu za siku ya Ashura zijulikanazo kwa jina la Ziaratu-Aa shuuraa kuna ibara ya kuwalaani Banu Umayya wote kwa ujumla akiwemo mwana wa Yazidu. Huk
-
je Imamu Khomeiniy (r.a) alikuwa anaamini kuwa kuadhimisha kwa kilio na maombolezo siku ya kuuwawa Imamu Husein (a.s), ndiyo sababu iliyoufanya Uislamu kubaki hai na imara tokea zama za Maimamu (a.s) hadi leo? Na kama alikuwa na imani hiyo, basi ni kwa msingi gani?
8660 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Khomeiniy r.a alitilia mkazo sana katika mazungumzo yake ya mara kwa mara ya kwamba: muhanga wa Imamu Husein a.s pamoja kuadhimisha siku ya muhanga huo kwa kuandaa vikao vya maombolezo kwa aji
-
nini maana ya usemi usemao kuwa: kumzuru Imamu Husein (a.s) ni sawa na kumzuru Mola kwenye Arshi yake”?
11241 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Husein bin Ali a.s ambaye ni Imamu wa tatu wa Kishia ni mtu mwenye fadhila kubwa mbele ya Mola wake na fadhila hizo amezipata kwa kutokana na malengo yake matendo kutojitanguliza mbele katika ma
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
7944 2012/05/23 تاريخ بزرگانKatika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
10219 2012/05/23 Elimu ya HadithiRejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu Ziara za siku ya Ashura ni vitabu viwili navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa far bin Muhammad bin Quulewaih
-
Je kuna ukweli wowote kuhusiana na madai yasemayo kuwa: Imamu Husein (a.s) alimuandikia Habibu bin Madhahir barua isemayo: “kutoka kwa mtengwa kwenda kwa Habibu”?
6854 2012/05/23 تاريخ بزرگانSisi swali lako tumelifanyia utafiti na kulisaka katika maandiko mbali mbali yanayoelezea msiba wa Imamu Husein a.s vile vile tumeangalia ndani ya kitabu maarufu kijulikanachoa kwa jina la Luhuuf cha
-
kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
7214 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab a.s yaliyosema: Ewe Muhmmad s.a.w.w wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka na wanao wa kiume wameuwawa na upep
-
je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
10468 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake wakiwemo aina mbali mbali za wanawake lakini bado alikuwa hatos
-
kwa nini Uislamu unaamuru kuwanyonga wanaoritadi? Je hilo haliendani kinyume na uhuru wa kila mmoja kuabudu anacho kitaka?
21240 2012/05/23 Sheria na hukumuKuritadi ni kitendo cha wazi kabisa cha kutoka katika dini na mara nyigi tendo hilo hutumika kama ni nyenzo ya kuwadhoofisha wengine kiimani na kuwafanya waache dini yao na hatimae kuwatoa na kuwaweka
-
je ndani ya hadithi kuna ushahidi wowote unaoelezea kuwa Ramadhani ni siku tahalathini?
10008 2012/05/23 Elimu ya HadithiKila mwaka wa Hijiria kwa kawaida huwa una miezi kumi na mbili na masiku ya miezi huwa yanahesabiwa kwa kuonekana kwa mwezi hii ni kanuni ya mwaka wa Hijiria ama mwaka Shamsia kwa kawaida masiku yake
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
13002 2012/05/23 Sheria na hukumuNdani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku
-
je nini wajibu wa mwanamke anayenyonyesha kwa muda wa miaka miwili mfululizo? Hivi yeye atatakiwa kulipa fidia ya funga zake pamoja na kuzilipia fidia kwa kutokana na kuchelewesha kuzilipa funga hizo?
10866 2012/05/23 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya Ayatullahil-Udhmaa Sistani Mola amlinde : 1-mwanamke ambaye ananyonyesha aliye na uchache wa maziwa awe ni mama wa mtoto au mlezi anayelipwa kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto hu
-
nini maana ya itikafu
19387 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno itikafu kilugha huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo lakini neno hili kitaalamu kwenye fani ya
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7738 2012/05/23 Sheria na hukumuOfisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
11738 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika
-
je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
21253 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura kama vile dharur
-
je kuutangaza mwezi ni jukumu la wanazuoni wote kwa ujumla, au ni jukumu tu la kiongozi (mwanafiqhi / kadhi) mkuu wa dini nchini?
9325 2012/05/23 Sheria na hukumuFani ya Fiqhi iliyo katika nyanja za juu iliyobobea huwa inampa mtu uwezo maalumu wa kuzivua na kuziopoa hukumu kuu za kisheria kutoka katika machimbuko yake ambayo miongoni mwayo ni zile ibara za Qu
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7555 2012/05/23 Nyenendo za wanazuoniImamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
8234 2012/05/23 Sheria na hukumu1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
8848 2012/05/23 تاريخ بزرگانMitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy