HAZINA YA MASWALI(STIKA:Ukristo)
-
kwa nini Uislamu unaamuru kuwanyonga wanaoritadi? Je hilo haliendani kinyume na uhuru wa kila mmoja kuabudu anacho kitaka?
21231 2012/05/23 Sheria na hukumuKuritadi ni kitendo cha wazi kabisa cha kutoka katika dini na mara nyigi tendo hilo hutumika kama ni nyenzo ya kuwadhoofisha wengine kiimani na kuwafanya waache dini yao na hatimae kuwatoa na kuwaweka
-
vipi Ukristo umeweza kuzifikia hatua mbali mbali za mabadiliko yake ndani ya uwanja wa kihistoria? Na ni jambo gani hasa lililosababisha kutokea upotoshaji wa dini ndani ya dini hii ya Kikristo?
11185 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaWakristo walipokuwa wakiishi katika zama ambazo Isa a.s alikuwa tayari ameshapaishwa mbinguni na Mola wake jukumu la kulingania dini lilishikwa na mitume pamoja na wafuasi wake Hawariyyuun waliokuwep