HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:قیام امام حسین ع)
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10574 2012/05/23 تاريخ بزرگانIngawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
8309 2012/05/23 تاريخ بزرگانKatika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
7491 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab a.s yaliyosema: Ewe Muhmmad s.a.w.w wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka na wanao wa kiume wameuwawa na upep
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7833 2012/05/23 Nyenendo za wanazuoniImamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
9114 2012/05/23 تاريخ بزرگانMitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
12652 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7867 2012/05/23 تاريخ بزرگانWaandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu