HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:حدیث)
-
hebu tufafanulieni umuhimu wa Hadhithi Kisaa (Hadithi ya joho)
13121 2012/05/23 Elimu ya HadithiHadhithi Kisaa Hadithi ya joho ambayo imenukuliwa ndani ya kitabu cha Sheikh Abbas Qummiy kijulikanacho kwa jina la Mafaatiihul-jinaan ni Hadithi iliyobeba ndani yake ujumbe mzito wenye umuhimu wa ain
-
ibara ya laana yenye kuulenga ukoo wa Banu Umayya, haitoacha kumgusa mwana wa Yazidu, kwani naye ni miongoni mwa watu wa ukoo huo, vipi basi sisi tukubaliane na Ziara hiyo na kukadai kuwa ni maandilo sahihi yatokayo kwa Maimamu (a.s)?
9747 2012/05/23 Elimu ya HadithiNdani ya ibara zilizomo kwenye maandiko ya Sala na salamu za siku ya Ashura zijulikanazo kwa jina la Ziaratu-Aa shuuraa kuna ibara ya kuwalaani Banu Umayya wote kwa ujumla akiwemo mwana wa Yazidu. Huk
-
tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
10673 2012/05/23 Elimu ya HadithiRejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu Ziara za siku ya Ashura ni vitabu viwili navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa far bin Muhammad bin Quulewaih
-
je ndani ya hadithi kuna ushahidi wowote unaoelezea kuwa Ramadhani ni siku tahalathini?
10430 2012/05/23 Elimu ya HadithiKila mwaka wa Hijiria kwa kawaida huwa una miezi kumi na mbili na masiku ya miezi huwa yanahesabiwa kwa kuonekana kwa mwezi hii ni kanuni ya mwaka wa Hijiria ama mwaka Shamsia kwa kawaida masiku yake