HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:علوم قرآنی)
-
Qur-ani ina aina tatu kuu za miujiza ndani yake: A- muujiza wa maneno yake. B- muujiza wa yale yaliyomo ndani yake. C- muujiza kwa upande wa Yule aliyekuja na Qur-ani (s.a.w.w).
Ni kiwango gani basi cha uzito wa dalili unaopatikana ndani ya kila mmoja kati ya miujiza hiyo katika njia za kusimamisha dalili ithibitishayo kuwa: Qur-ani ni yenye kutokana na Mola Mtakatifu?
14220 2012/05/23 Elimu za Qur-aniTukitoa jawabu ya kiujumla jamala kuhusiana na swali hilo lililoulizwa hapo juu tunasema kuwa: si katika zama za zamani au za hivi sasa tu bali katika zama zote hakujawahi kutokea mtu aliyeweza kuja n
-
Qur-ani ni muujiza wa mtume wa mwisho (s.a.w.w), muujiza wake basi uko katika hali gani?
13290 2012/05/23 Elimu za Qur-aniKuna hali tatu za kimiujiza zilizotajwa kuhusiana na muujiza wa Qur-ani: muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani muujiza wa yale yalioomo ndani yake na muujiza wa Yule aliyekuja na Qur-ani s.a.w.w