HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:قرآن)
-
ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo?
11894 2012/06/17 TafsiriKilugha panapotumika neno Imani au itikadi humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kus
-
Qur-ani ina aina tatu kuu za miujiza ndani yake: A- muujiza wa maneno yake. B- muujiza wa yale yaliyomo ndani yake. C- muujiza kwa upande wa Yule aliyekuja na Qur-ani (s.a.w.w).
Ni kiwango gani basi cha uzito wa dalili unaopatikana ndani ya kila mmoja kati ya miujiza hiyo katika njia za kusimamisha dalili ithibitishayo kuwa: Qur-ani ni yenye kutokana na Mola Mtakatifu?
14220 2012/05/23 Elimu za Qur-aniTukitoa jawabu ya kiujumla jamala kuhusiana na swali hilo lililoulizwa hapo juu tunasema kuwa: si katika zama za zamani au za hivi sasa tu bali katika zama zote hakujawahi kutokea mtu aliyeweza kuja n
-
Qur-ani ni muujiza wa mtume wa mwisho (s.a.w.w), muujiza wake basi uko katika hali gani?
13290 2012/05/23 Elimu za Qur-aniKuna hali tatu za kimiujiza zilizotajwa kuhusiana na muujiza wa Qur-ani: muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani muujiza wa yale yalioomo ndani yake na muujiza wa Yule aliyekuja na Qur-ani s.a.w.w
-
nini maana ya neno (kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر) lililonasibishwa na Mungu ndani ya Qur-ani?
19392 2012/05/23 TafsiriNeno kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر humaanisha utafutaji wa hila au njia katika kulifikia jambo fulani na yawezekana mtu kutafuta hila na njia za kuyafikia mazuri au mabaya. Ujanja wa Mu