HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:فلسفه)
-
kuna ulazima gani wa kuonekana kwa mwezi kwa ajili ya Ramadhani? Na mbona suala hilo hailizingatiwi sana ndani ya miezi iliyobakia?
8752 2012/05/23 Falsafa ya Sheria na hukumuSuala la kuonekana kwa mwezi ni lenye umuhimu ndani ya miezi yote lakini suala hilo huwa ni lenye kupewa kipau mbele zaidi ndani ya mwezi wa Ramadhani kwa kutokana na ulazima wa ibada ya funga iliyomo
-
nini maana ya neno (dini)? Au dini hasa ni kitu gani?
51826 2012/05/23 Falsafa ya DiniWamagharibi wametumia ibara mbali mbali ili kupata maana muwafaka inayowafikiana na neno dini na neno dini ndani ya Qur-ani limetumika huku likibeba maana mbili tofauti nazo ni kama ifuatavyo: 1- d