HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:عرفان)
-
Vipi mtu anaweza kuwa kipenzi cha Mwenye Ezi Mungu?
7632 2019/06/16 Tabia kimatendoKatika lugha ya Kiarabu -ambayo ndiyo lugha ya sheria ya Kiislamu- neno pendo linatokana na neno حب . Ambalo lina maana ya kule mtu kuwa na mapenzi na mtu kitu au jambo fulani. Lakini neno pendo mapen