HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:اسلام و ایمان)
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13929 2014/02/12 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake
-
ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo?
11957 2012/06/17 TafsiriKilugha panapotumika neno Imani au itikadi humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kus