HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:اجتهاد و تقلید)
-
kwa nini tuwe wakalidi (wafuasi)?
8068 2012/05/23 Sheria na hukumuRuhusa ya kumfuata ulamaa maalumu katika matendo ya ibada za kila siku inatakiwa kutolewa na akili ya mtu mwenyewe. Na wala ruhusa hiyo haingojewi kutoka kwa Maulamaa huku kila mmoja akielewa umuhimu