Alhamisi, 21 Novemba 2024
HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:احکام)
-
Kodi za yanayohusiana na maudhui
4302
2018/11/10
اعتکاف
Kwanza tuwie radhi kawa kuchelewa kukujibu swali lako. Tuna tazizo wakati mwengine la kuchelewa kujibu maswali kwa haraka hii ni kwa kutokana na kuzidiwa na maswali au wafanya kazi wetu kuto kuwa na m
-
Vipi talaka hutimia, maneno gani hutumika kwa ajili ya talaka, na ni mara ngapi?
12751
2018/11/10
طلاق
Kulingana na madhehebu ya Shia iwapo mtu atakasirika kupita budi kiasi ya kwamba akawa ametoa talaka bila ya makusudia au bila ya hiari kwa kutokana na kutawaliwa na hasira kupita budi. Hapo talaka ha
-
Nini hukumu ya mwenye kumpa chakula muislamu asiyefunga?
5131
2018/11/05
گوناگون
Si tatizo mtu kumpa chakula wakati wa mchana muislamu asiyefunga ndani ya mwezi wa Ramadhani. Hukumu hii na kwa yule muislamu amedharurika kufunga. Kama vile kumpa chakula wakati wa mchana muislamu al
-
Tafadhali naomba munieleweshe, nini maana ya hijja kilugha?
6953
2018/01/24
حج
Hijja kilugha; Ni kukisudia na kukiendea kitu au jambo fulani. [ 1 ] Neno hijja Kisheria na kitaalamu; Neno hijja kisheria ni lenye kuashiria aina maalumu ya ibada yenye kutendeka mahala maalumu kwa
-
Niyə müsəlman bir kişi əhli kitab qadını ilə daimi evlənə bilməz amma müvəqqəti evlənə bilər?
6891
2015/06/02
Sheria na hukumu
Kitab əhli qadınları ilə m səlman kişilərin daimi evliliyi barədə fəqihlərin baxışı m xtəlifdir. Bu ixtilafın səbəbi bu sahədə olan m xtəlif rəvayətlərdən irəli gəlir. Belə nəzərə arpır ki bəzi hədisl
-
Batasan pakaian bagi perempuan untuk mengerjakan salat
6865
2015/04/18
Sheria na hukumu
Batasan wajib menutup aurat bagi perempuan adalah menutup seluruh badan termasuk rambut kecuali wajah seukuran dengan basuhan ketika berwudhu kedua telapak tangan dan kedua kaki sampai pergelangannya
-
Timsahın saxlanılması və digər ölkələrə satışına icazə varmı?
7841
2014/05/22
Sheria na hukumu
Təqlid olunan m ctehidlərin cavabları bunlardır: Həzrət ayətullah Xamnei Allah qorusun Əti haram olan heyvanların saxlanılması və onun hətta bu heyvanların ətlərinin yeyilməsini halal bilənlərə də
-
nini hukumu ya kufuga njiwa ndani ya sheria za Kiislamu? Na nini msingi hasa wa hukumu hiyo?
25076
2012/06/17
Sheria na hukumu
Tukilitazama suala la kufunga njiwa kibinafsi tutalikutia kuwa suala hili halina matatizo na ni halali. Lakini pale sisi tutapolimbatanisha suala hili na haki za majirani au wanajamii hapo tunaweza ku
-
je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera?
10769
2012/06/17
Sheria na hukumu
Kwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipen
-
ndani ya vitabu vya fiqhi katika ibara inayohusiana na utoharikaji na usafikaji wa vitu kamavile kuta, majengo pamoja na ardhi, kumeandikwa ibara isemayo: ili jua liweza kuitoharisha na kuisafisha ardhi au kuta za jengo fulani kutokana na najisi fulani, inabidi zizingatiwe sharti maalumu, nazo ni kwamba: hakutakiwi kuwepo kuzuizi juu ya ardhi ua kuta ziliyonajisika, wala hakutakiwi kuwepo uwazi wenye kupitisha hewa baina ya tabaka la juu lililonajisika na lile tabaka la ndani lililonajisika…, naomba munifahamishe, nini maana hasa ya ibara hii? Tafadhalini nifafanulieni kwa uwazi kabisa.
14265
2012/06/17
Sheria na hukumu
Ufafanuzi juu ya swali lako ni kwamba: jua ni moja kati ya vitu vyenye kutoharisha na miongoni mwa vitu vyenye kutoharishwa na jua ni: ardhi pamoja na kuta za nyumba. [ i ] Ili jua liweze kutoharis
-
katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi?
12769
2012/06/17
Sheria na hukumu
Jawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwan
-
iwapo kwenye ngozi ya mwanamke kutakuwa na alama au athari fulani, je inajuzu mke huyo kuifanyia upresheni ngozi ya mwili wake baada ya mumewe kuliridhia jambo hilo? Kwani katika zama zetu hizi ni rahisi kuziondoa alama hizo kupitia kifaa maalumu chenye mwanga, mwanga ambao huwa unafanya kazi ya kuzifuta alama hizo kupitia wataalamu maalumu hospitalini.
9622
2012/06/17
Sheria na hukumu
Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu hii: Iwapo wewe utakuwa katika mashaka makubwa kwa kutokana na kuwa na aina hiyo ya
-
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
12085
2012/06/17
Sheria na hukumu
Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei Mungu amhifadhi : Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo basi jambo hilo halitofaa kutendwa. Jawabu kutoka ofisi ya elimu
-
kwa nini Uislamu unaamuru kuwanyonga wanaoritadi? Je hilo haliendani kinyume na uhuru wa kila mmoja kuabudu anacho kitaka?
21682
2012/05/23
Sheria na hukumu
Kuritadi ni kitendo cha wazi kabisa cha kutoka katika dini na mara nyigi tendo hilo hutumika kama ni nyenzo ya kuwadhoofisha wengine kiimani na kuwafanya waache dini yao na hatimae kuwatoa na kuwaweka
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
13343
2012/05/23
Sheria na hukumu
Ndani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku
-
je nini wajibu wa mwanamke anayenyonyesha kwa muda wa miaka miwili mfululizo? Hivi yeye atatakiwa kulipa fidia ya funga zake pamoja na kuzilipia fidia kwa kutokana na kuchelewesha kuzilipa funga hizo?
11163
2012/05/23
Sheria na hukumu
Jawabu kutoka ofisi ya Ayatullahil-Udhmaa Sistani Mola amlinde : 1-mwanamke ambaye ananyonyesha aliye na uchache wa maziwa awe ni mama wa mtoto au mlezi anayelipwa kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto hu
-
nini maana ya itikafu
19811
2012/05/23
Tabia kimtazamo
Neno itikafu kilugha huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo lakini neno hili kitaalamu kwenye fani ya
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7963
2012/05/23
Sheria na hukumu
Ofisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya
-
je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
21650
2012/05/23
Sheria na hukumu
Mtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura kama vile dharur
-
je kuutangaza mwezi ni jukumu la wanazuoni wote kwa ujumla, au ni jukumu tu la kiongozi (mwanafiqhi / kadhi) mkuu wa dini nchini?
9569
2012/05/23
Sheria na hukumu
Fani ya Fiqhi iliyo katika nyanja za juu iliyobobea huwa inampa mtu uwezo maalumu wa kuzivua na kuziopoa hukumu kuu za kisheria kutoka katika machimbuko yake ambayo miongoni mwayo ni zile ibara za Qu
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
8489
2012/05/23
Sheria na hukumu
1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
14460
2012/05/23
Sheria na hukumu
Tokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
ni zipi funga zilizo zisizofaa kwa mtazamo wa imam Shafi, Hanafi na Maalik?
14759
2012/05/23
Sheria na hukumu
Masiku yasiyofaa kufunga saumu mbele ya imam Abu Hanifa ni: siku ya idi ndogo na idi kubwa pia kufunga siku ya mwezi 11 12 na 13 ya mwezi wa Dhil-hijja pia kufunga ndani ya idi pili hadi nne za idi ya
-
je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
11094
2012/05/23
Sheria na hukumu
Mtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili y
-
nini hukumu ya kupiga sindano ya nguvu au kutia maji ya nguvu (Intravenous injection) mwilini ndani ya Ramadhani?
10316
2012/05/23
Sheria na hukumu
Wanazuoni wamekhitalifiana kuhusiana na suala hilo. Kwa kupata jawabu tosha ni lazima utuambie kuwa wewe ni mfuasi wa mwanazuoni gani? Ili tuweze kukupa jawabu makini zaidi. Kwa vyovyote vile mitazamo
-
iwapo mtu ndani ya usiku wa mwezi wa Ramadhani atabakia na janaba hadi wakati wa adhana ya asubuhi kwa makusudi bila ya kukoga, mtu huyo atatakiwa kufanya nini? Je ailipe ile siku moja tu, au pia atatakiwa kulipa fidia?
22005
2012/05/23
Sheria na hukumu
iwapo mtu atawajibikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani naye kwa makusudi akabakia na janaba hadi adhana ya asubuhi anaweza yeye akatayamamu katika nyakati za mwisho kabisa kabla ya kuadhiniwa adhana hiyo
-
nini hukumu ya funga kwa mjumbe anaye safiri kwa ajili ya kuufikisha ujumbe wa Alla (S.W) au kwa ajili ya kufanya kazi fulani?
8858
2012/05/23
شغل مسافرتی
watu kama hawa wanatakiwa kusali safari na pia hawaruhusiwi kufunga katika hali kama hiyo na wala hawawezi kufunga funga zao za nadhiri huku wakiwemo ndani ya mwezi wa Ramadhani tena safarini. Lakin
-
hivi mvuta sigara aweza kuvuta sigara hali akiwa amefunga?
7582
2012/05/23
Sheria na hukumu
Wanazuoni wote wa Kifiqhi wanasema kuwa: ni wajibu wa kila mwenye funga kuchukuwa tahadhari na kutofikisha kitu chochote kile kama vile tumbaku au moshi wa sigara ndani ya koo yake. [ 1 ] Na hakuna
-
iwapo mtu ataiharibu funga yake kwa makusudi, huku akawa hawezi kuifidia funga hiyo kwa kutokana na ugumu wa masharti, kwani utowaji wa fidia katika njia ulipaji wa funga iliyoharibiwa kwa makusudi, ni mgumu mmno. Mtu kama huyo basi itambidi afanyaje? Baada ya kuzingatia kuwa yeye hawezi kuwashibisha maskini sitini wala kumwachia huru mtumwa, na pia hawezi kufunga miezi miwili mfululizo, je atowe tu kiwango akiwezacho kukitowa na kuwapa maskini?
8222
2012/05/23
Sheria na hukumu
Wanazuoni wa Kifiqhi wanasema kuwa: mtu atakayeiharibu funga yake kwa makusudi antakiwa ima amtowe huru mtumwa [ 1 ] au afunge miezi miwili mfululizo au awalishe mlo mmoja maskini sitini mpaka washibe
-
kwa nini tuwe wakalidi (wafuasi)?
7989
2012/05/23
Sheria na hukumu
Ruhusa ya kumfuata ulamaa maalumu katika matendo ya ibada za kila siku inatakiwa kutolewa na akili ya mtu mwenyewe. Na wala ruhusa hiyo haingojewi kutoka kwa Maulamaa huku kila mmoja akielewa umuhimu