HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:رؤیت هلال و یوم الشک)
-
je kuutangaza mwezi ni jukumu la wanazuoni wote kwa ujumla, au ni jukumu tu la kiongozi (mwanafiqhi / kadhi) mkuu wa dini nchini?
9597 2012/05/23 Sheria na hukumuFani ya Fiqhi iliyo katika nyanja za juu iliyobobea huwa inampa mtu uwezo maalumu wa kuzivua na kuziopoa hukumu kuu za kisheria kutoka katika machimbuko yake ambayo miongoni mwayo ni zile ibara za Qu