HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:شرایط ازدواج موقت)
-
katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi?
12827 2012/06/17 Sheria na hukumuJawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwan