HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:حدود، قصاص و دیات)
-
kwa nini Uislamu unaamuru kuwanyonga wanaoritadi? Je hilo haliendani kinyume na uhuru wa kila mmoja kuabudu anacho kitaka?
21769 2012/05/23 Sheria na hukumuKuritadi ni kitendo cha wazi kabisa cha kutoka katika dini na mara nyigi tendo hilo hutumika kama ni nyenzo ya kuwadhoofisha wengine kiimani na kuwafanya waache dini yao na hatimae kuwatoa na kuwaweka