HAZINA YA MASWALI
-
je dini na siasa ni vyenye kuendana au vyapingana?
13116 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaDini ni chombo maalumu kilichokuja kumkomboa mwanaadamu na kumuongoza katika njia ya mafanikio hivyo basi ni jambo lisiloingia akilini kuwa chombo hichi kiwe ni chenye kulipa mgongo jambo muhimu linal
-
hivi mvuta sigara aweza kuvuta sigara hali akiwa amefunga?
7649 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wote wa Kifiqhi wanasema kuwa: ni wajibu wa kila mwenye funga kuchukuwa tahadhari na kutofikisha kitu chochote kile kama vile tumbaku au moshi wa sigara ndani ya koo yake. [ 1 ] Na hakuna
-
iwapo mtu ataiharibu funga yake kwa makusudi, huku akawa hawezi kuifidia funga hiyo kwa kutokana na ugumu wa masharti, kwani utowaji wa fidia katika njia ulipaji wa funga iliyoharibiwa kwa makusudi, ni mgumu mmno. Mtu kama huyo basi itambidi afanyaje? Baada ya kuzingatia kuwa yeye hawezi kuwashibisha maskini sitini wala kumwachia huru mtumwa, na pia hawezi kufunga miezi miwili mfululizo, je atowe tu kiwango akiwezacho kukitowa na kuwapa maskini?
8276 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wa Kifiqhi wanasema kuwa: mtu atakayeiharibu funga yake kwa makusudi antakiwa ima amtowe huru mtumwa [ 1 ] au afunge miezi miwili mfululizo au awalishe mlo mmoja maskini sitini mpaka washibe
-
iwapo amri za baba zitapingana na za mama, mwana atakuwa na anawajibu gani katika hali kama hiyo?
13225 2012/05/23 Tabia kimatendoMiongoni mwa amri kuu alizoamriswha mja na Mola wake baada ya ile amri ya kumpwekesha Mola wake ni kwatii wazazi wawili. Kuhusiana na swali lililoulizwa hapo juu pamoja na hali halisi iliyotajwa
-
nini maana ya neno (dini)? Au dini hasa ni kitu gani?
51827 2012/05/23 Falsafa ya DiniWamagharibi wametumia ibara mbali mbali ili kupata maana muwafaka inayowafikiana na neno dini na neno dini ndani ya Qur-ani limetumika huku likibeba maana mbili tofauti nazo ni kama ifuatavyo: 1- d
-
Qur-ani ina aina tatu kuu za miujiza ndani yake: A- muujiza wa maneno yake. B- muujiza wa yale yaliyomo ndani yake. C- muujiza kwa upande wa Yule aliyekuja na Qur-ani (s.a.w.w).
Ni kiwango gani basi cha uzito wa dalili unaopatikana ndani ya kila mmoja kati ya miujiza hiyo katika njia za kusimamisha dalili ithibitishayo kuwa: Qur-ani ni yenye kutokana na Mola Mtakatifu?
14223 2012/05/23 Elimu za Qur-aniTukitoa jawabu ya kiujumla jamala kuhusiana na swali hilo lililoulizwa hapo juu tunasema kuwa: si katika zama za zamani au za hivi sasa tu bali katika zama zote hakujawahi kutokea mtu aliyeweza kuja n
-
Qur-ani ni muujiza wa mtume wa mwisho (s.a.w.w), muujiza wake basi uko katika hali gani?
13295 2012/05/23 Elimu za Qur-aniKuna hali tatu za kimiujiza zilizotajwa kuhusiana na muujiza wa Qur-ani: muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani muujiza wa yale yalioomo ndani yake na muujiza wa Yule aliyekuja na Qur-ani s.a.w.w
-
je kuna haja ya kumkhofu Mola au tunatakiwa kuwa na mapenzi Naye?
9676 2012/05/23 Tabia kimatendoSuala la mtu kuwa na khofu huku akiwa na matarajio ya kheri na kwa upande wa pili akawa na mapenzi ya Mola wake huwa si suala la kushangaza kwa mambo hayo mawili hayapingani katika kuwepo kwake kwani
-
nini maana ya neno (kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر) lililonasibishwa na Mungu ndani ya Qur-ani?
19397 2012/05/23 TafsiriNeno kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر humaanisha utafutaji wa hila au njia katika kulifikia jambo fulani na yawezekana mtu kutafuta hila na njia za kuyafikia mazuri au mabaya. Ujanja wa Mu
-
Nini maana ya Feminism?
15939 2012/05/23 Sheria na hukumuNeno Feminism linatokana na lugha ya Kifaransa ambalo asili yake ya Kilatini ni Femind neno hili hutumika katika lugha mbali mbali huku likiwa na maana moja inayomaanisha uke au jinsia ya kike ijapok
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
10821 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaTukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa
-
jee mwanaadamu ni mwenye uhuru katika matendo yake? Na kama yeye ni mwenye uhuru, basi mipaka ya uhuru wake ikoje?
9063 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaMara nyingi mwanaadamu akiwemo katika msafara wa maisha yake binafsi hujikuta akiwa ni mpweke na mgeni ndani ya msafara huo. Lakini hakuna budi kila mmoja wetu kuwemo ndani ya msafara huo. Ukiizingati
-
kwa nini Mola mtukufu hakuwahidi walimwengu wote na kuwafanya wawe ni watu wa kheri walioongoka?
11471 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaNamna ilivyotumiwa Aya iliopita hapo juu ambayo ni Aya ya 13 ya Suratu Sijda katika usimamishaji wa dilili hiyo iliyosema kuwa: Mola hakuwaongoza viumbe wake haikuwa sawa. Kwa sababu ni wazi kabisa ku
-
kwa nini tuwe wakalidi (wafuasi)?
8021 2012/05/23 Sheria na hukumuRuhusa ya kumfuata ulamaa maalumu katika matendo ya ibada za kila siku inatakiwa kutolewa na akili ya mtu mwenyewe. Na wala ruhusa hiyo haingojewi kutoka kwa Maulamaa huku kila mmoja akielewa umuhimu