advanced Search

HAZINA YA MASWALI(STIKA:wanawake)

  • Nini maana ya Feminism?
    15334 2012/05/23 Sheria na hukumu
    Neno Feminism linatokana na lugha ya Kifaransa ambalo asili yake ya Kilatini ni Femind neno hili hutumika katika lugha mbali mbali huku likiwa na maana moja inayomaanisha uke au jinsia ya kike ijapok

MASWALI KIHOLELA

  • kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
    11713 Tabia kimtazamo 2012/05/23
    Neno Tharu-Llahi (ثار الله) limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu, na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika kwa ajili ya kumuita Yeye (a.s) Tharu-Llahi (
  • Niyə müsəlman bir kişi əhli kitab qadını ilə daimi evlənə bilməz amma müvəqqəti evlənə bilər?
    6463 Sheria na hukumu 2015/06/02
    Kitab əhli qadınları ilə müsəlman kişilərin daimi evliliyi barədə fəqihlərin baxışı müxtəlifdir. Bu ixtilafın səbəbi bu sahədə olan müxtəlif rəvayətlərdən irəli gəlir. Belə nəzərə çarpır ki, bəzi hədislərdə bu evliliyə icazə verlməməsinin hikməti müsəlman kişilərin kafir qadınların əxlaq və xasiyyətlərinin və həmçinin inanclarının təsir altına düşməsinin qarşısını ...
  • je kuna haja ya kumkhofu Mola au tunatakiwa kuwa na mapenzi Naye?
    9220 Tabia kimatendo 2012/05/23
    Suala la mtu kuwa na khofu huku akiwa na matarajio ya kheri, na kwa upande wa pili akawa na mapenzi ya Mola wake, huwa si suala la kushangaza, kwa mambo hayo mawili hayapingani katika kuwepo kwake, kwani kuwepo kwa hali mbili kama hizo huwa ni jambo la ...
  • nini maana ya itikafu
    19344 Tabia kimtazamo 2012/05/23
    Neno (itikafu) kilugha, huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu, huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo, lakini neno hili kitaalamu (kwenye fani ya sheria za Kiislam) linamaanisha kule mtu kukaa katika sehemu takatifu kwa ajili ya ...
  • Nini hukumu ya mwenye kumpa chakula muislamu asiyefunga?
    4782 گوناگون 2018/11/05
    Si tatizo mtu kumpa chakula wakati wa mchana muislamu asiyefunga ndani ya mwezi wa Ramadhani. Hukumu hii na kwa yule muislamu amedharurika kufunga. Kama vile kumpa chakula wakati wa mchana muislamu aliye mgonjwa au msafiri. Kwa upande wa pili; ni vyema kutompa chakula muislamu asiyeruhusika kula (asiye ...
  • nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
    13369 Elimu ya zamani ya Akida 2014/02/12
    Kuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake (s.a.w.w). Hayo pia utayakuta kwenye Aya ya 40 ya Suratul-Ahzab. 2- Dini ya Kiislamu imeitwa dini ya mwisho ...
  • Vipi mtu anaweza kuwa kipenzi cha Mwenye Ezi Mungu?
    7146 Tabia kimatendo 2019/06/16
    Katika lugha ya Kiarabu, -ambayo ndiyo lugha ya sheria ya Kiislamu- neno (pendo) linatokana na neno "حب". Ambalo lina maana ya kule mtu kuwa na mapenzi na mtu, kitu au jambo fulani. Lakini neno pendo, mapenzi au neno jengine lenye maana kama hii, linapotumika na kunasibishwa ...
  • tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
    10197 Elimu ya Hadithi 2012/05/23
    Rejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu (Ziara) za siku ya Ashura ni vitabu viwili, navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa'far bin Muhammad bin Quulewaihi Qummiy, ambaye amefariki mwaka 348 Hijiria, na cha pili ni kitabu kiitwacho Misbaahul-mujtahid cha ...
  • hivi mvuta sigara aweza kuvuta sigara hali akiwa amefunga?
    7243 Sheria na hukumu 2012/05/23
    Wanazuoni wote wa Kifiqhi wanasema kuwa: ni wajibu wa kila mwenye funga kuchukuwa tahadhari, na kutofikisha kitu chochote kile kama vile tumbaku au moshi wa sigara ndani ya koo yake.[1] Na hakuna hata mmoja miongoni mwa wanazuoni aliyetoa ruhusa ya kuvuta sigara ...

YALIYOSOMWA ZAIDI