Alhamisi, 05 Desemba 2024
-
hadi kufia leo, ni watu gani walio weza kusimama mbele ya shetani, na walitumia njia gani katika kupambana naye?
14353
2012/06/17
Tabia kimatendo
Kwa mtazamo wa Qur-ani ni kwamba: shetani hana uwezo wa kuwamiliki na kuwadhibiti wacha Mungu wenye ikhlasi na Mola wao. Wacha Mungu wenye ikhlasi ni wale walio ifikia daraja maalumu ya ucha Mungu j
-
nini hukumu ya kufuga njiwa ndani ya sheria za Kiislamu? Na nini msingi hasa wa hukumu hiyo?
25101
2012/06/17
Sheria na hukumu
Tukilitazama suala la kufunga njiwa kibinafsi tutalikutia kuwa suala hili halina matatizo na ni halali. Lakini pale sisi tutapolimbatanisha suala hili na haki za majirani au wanajamii hapo tunaweza ku
-
kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)?
32282
2012/06/17
Tabia kimtazamo
Neno tabia linatokana na neno la Kiarabu اخلاق ambalo ni umoja wa neno خلق lenye maana ya tabia nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ya sifa
-
je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera?
10779
2012/06/17
Sheria na hukumu
Kwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipen
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
10062
2012/06/17
Tabia kimatendo
Uislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu kama vile zilivyo fanya dini nyengine kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake au mahitaj
-
vipi madhehebu manne ya Ahlu-Sunna yalipatikana, na ilikuwaje mlango wa ijitihadi wa madhehebu hayo ukafungwa?
23939
2012/06/17
Sheria na hukumu
Mafunzo na fiqhi ya Kiislamu yaligawika sehemu mbili tokea ndani ya kipindi cha mwanzo cha tarehe ya Kiislamu baada tu ya kufariki Mtume s.a.w.w kipindi ambacho kilikuwa ni kipindi cha mzozo katika s
-
je hivi mnaweza mkanipatia baadhi ya Riwaya zenye kukataza kuwepo kwa mahusiano baina ya msichana na mvulana?
13174
2012/06/17
Sheria na hukumu
Msichana na mvulana wanaweza kuwa na aina mbali mbali za mahusiano ndani ya jamii ya wanaadamu na bila shaka baadhi ya mahusiano hayo huwa si mahusiano salama na si halali. Kwa kweli swali lililo uliz
-
ndani ya vitabu vya fiqhi katika ibara inayohusiana na utoharikaji na usafikaji wa vitu kamavile kuta, majengo pamoja na ardhi, kumeandikwa ibara isemayo: ili jua liweza kuitoharisha na kuisafisha ardhi au kuta za jengo fulani kutokana na najisi fulani, inabidi zizingatiwe sharti maalumu, nazo ni kwamba: hakutakiwi kuwepo kuzuizi juu ya ardhi ua kuta ziliyonajisika, wala hakutakiwi kuwepo uwazi wenye kupitisha hewa baina ya tabaka la juu lililonajisika na lile tabaka la ndani lililonajisika…, naomba munifahamishe, nini maana hasa ya ibara hii? Tafadhalini nifafanulieni kwa uwazi kabisa.
14278
2012/06/17
Sheria na hukumu
Ufafanuzi juu ya swali lako ni kwamba: jua ni moja kati ya vitu vyenye kutoharisha na miongoni mwa vitu vyenye kutoharishwa na jua ni: ardhi pamoja na kuta za nyumba. [ i ] Ili jua liweze kutoharis
-
katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi?
12777
2012/06/17
Sheria na hukumu
Jawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwan
-
iwapo kwenye ngozi ya mwanamke kutakuwa na alama au athari fulani, je inajuzu mke huyo kuifanyia upresheni ngozi ya mwili wake baada ya mumewe kuliridhia jambo hilo? Kwani katika zama zetu hizi ni rahisi kuziondoa alama hizo kupitia kifaa maalumu chenye mwanga, mwanga ambao huwa unafanya kazi ya kuzifuta alama hizo kupitia wataalamu maalumu hospitalini.
9628
2012/06/17
Sheria na hukumu
Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu hii: Iwapo wewe utakuwa katika mashaka makubwa kwa kutokana na kuwa na aina hiyo ya
-
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
12098
2012/06/17
Sheria na hukumu
Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei Mungu amhifadhi : Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo basi jambo hilo halitofaa kutendwa. Jawabu kutoka ofisi ya elimu
-
ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo?
11869
2012/06/17
Tafsiri
Kilugha panapotumika neno Imani au itikadi humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kus
-
kwa mtazamao wa Kiislamu, mwanaadamu ni kiumbe gani?
11877
2012/05/26
Elimu mpya ya Akida
Kwa mtazamo wa Qur-ani mwanaadamu ni kiumbe aliyebeba sifa mbili tofauti za kimaumbile moja ni ile inayotokana na maumbile aliyopewa tokea mwanzo kutoka kwa Mola wake nayo ni maumbile ya kiroho na ya
-
maadili mema yana nafasi gani kwenye uwanja wa mazoezi?
12074
2012/05/23
Tabia kimatendo
Uisalmu ni dini kamili iliyokusanya ndani yake mfumo kamili na salama wenye kutoa muelekeo wa kiutendaji kuhusiana na kipengele kimoja kimoja miongoni mwa vile vipengele vinavyo husiana na maisha ya m
-
nini maana ya ucha Mungu?
20467
2012/05/23
Tabia kimtazamo
Taqwa ucha Mungu ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfa
-
kuna njia gani za kujenga urafiki na Qur-ani zitakazo mfanya mtu azoeane na Qur-ani?
12805
2012/05/23
Tabia kimatendo
Kama mtu atakaye isoma Qur-ani kwa nia ya kutafuta radhi za Mola wake huku yeye akawa anaisoma Qur-ani hiyo kwa makini na kuitafakari vilivyo basi Qur-ani iatamvuta mtu huyo na kumfanya awe ni mpezi w
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12545
2012/05/23
Tabia kimatendo
Uislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M
-
maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu?
13016
2012/05/23
Tabia kimatendo
Iwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: و ما خلقت الجن و الانس الا لیع
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
14669
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Wajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
hivi ni kwa nini Imamu Ali (a.s), hakuamua kilinda nafsi yake mbele ya adui yake (Ibnu Muljim), hali ya kuwa Yeye (a.s) alikuwa akielewa vyema nia ya adui huyo?
9375
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Jawabu kamili ya swali hili yaweza kukamilika kuvitambua vipengele vifuatavyo: Vigezo halisi kwa mja katika utendaji wa amali na nyadhifa zake zinazomfungamanisha na wanajamii mbali mbali ni ile
-
je kitabu cha tarehe kijulikanacho kwa jina la Taarekhu-Tabari, ni kitabu kinachoaminika?
9612
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Pale kitabu fulani kinaposemekana kuwa ni chenye kuaminika huwa haimaanishi kuwa kila kilichomo ndani yake ni sahihi. Kitabu Taarikhut-Tabariy si chenye kuepukana na usemi huu bali nacho pia hakikubeb
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10518
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Ingawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay
-
hivi ni kwanini baadhi ya watu katika ulimwengu wa ndoto huonekana katika umbile la kinyama, hali ya kuwa wao baadae walionekana kuwa ni miongoni mwa watu waliofaulu na kupata daraja mbali mbali za utukufu.
13947
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Kuna Aya na Riwaya mbali mbali zenye kuonesha kuwa hali na sura halisi za maumbile ya baadhi ya watu ni zenye kutafautiana na lile umbile lao dhahiri wanalo onekana nalo katika ulimwengu huu wa dhahir
-
je hili shairi lisemalo: “mfalme wa wote ametupwa chini, na medali ya pambo (kichwa cha Imamu Husein) ikachokwa juu ya mshale, kichwa kile hakikuwa ni cha kawaida, bali ni shina na kibla kinachoelekewa na nyoyo zenye kufuata taa ya upendo” ambalo linadaiwa kuwa ni la Allaama Shaa’araniy, je kweli shairi hili linatokana naye?
9338
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Kitabu Dam-us-sajuum ni tarjama ya kitabu maarufu cha maombolezo kinachotokana na Haaj Sheikh Abbaas Qummiyi ambaye ni muandishi wa kitabu Mafaatihul-jinaan. Kitabu Dam-us-sajuum kimepigwa chapa na ki
-
je ni kweli kuwa Imamu Hsein (a.s) alifunga ndoa na bibi Shahre-Baanu?
9767
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Suala la ndoa ya Imamu Husein a.s na bibi Shahre Baanu aliyetekwa na jeshi la Kiisalamu ni suala liliozungumziwa na vitabu vya historia huku likiwa na rangi mbali mbali za Ibara zenye kutofautiana baa
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12411
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P
-
ni kwa nini maombolezo ya Imamu Husein (a.s), yakapewa jina la Raudha?
10816
2012/05/23
تاريخ کلام
Neno Raudha ni neno maalumu linalotumiwa na waombolezaji wa mwauwaji ya Imamu Husein a.s na neno hili linatoka kwenye kitabu maarufu cha maombolezo ya Imamu Husein a.s kijulikanacho kwa jina la Raud
-
hebu tufafanulieni umuhimu wa Hadhithi Kisaa (Hadithi ya joho)
13059
2012/05/23
Elimu ya Hadithi
Hadhithi Kisaa Hadithi ya joho ambayo imenukuliwa ndani ya kitabu cha Sheikh Abbas Qummiy kijulikanacho kwa jina la Mafaatiihul-jinaan ni Hadithi iliyobeba ndani yake ujumbe mzito wenye umuhimu wa ain
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15889
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Suala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
14974
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel
-
ibara ya laana yenye kuulenga ukoo wa Banu Umayya, haitoacha kumgusa mwana wa Yazidu, kwani naye ni miongoni mwa watu wa ukoo huo, vipi basi sisi tukubaliane na Ziara hiyo na kukadai kuwa ni maandilo sahihi yatokayo kwa Maimamu (a.s)?
9705
2012/05/23
Elimu ya Hadithi
Ndani ya ibara zilizomo kwenye maandiko ya Sala na salamu za siku ya Ashura zijulikanazo kwa jina la Ziaratu-Aa shuuraa kuna ibara ya kuwalaani Banu Umayya wote kwa ujumla akiwemo mwana wa Yazidu. Huk
-
je Imamu Khomeiniy (r.a) alikuwa anaamini kuwa kuadhimisha kwa kilio na maombolezo siku ya kuuwawa Imamu Husein (a.s), ndiyo sababu iliyoufanya Uislamu kubaki hai na imara tokea zama za Maimamu (a.s) hadi leo? Na kama alikuwa na imani hiyo, basi ni kwa msingi gani?
8935
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Imamu Khomeiniy r.a alitilia mkazo sana katika mazungumzo yake ya mara kwa mara ya kwamba: muhanga wa Imamu Husein a.s pamoja kuadhimisha siku ya muhanga huo kwa kuandaa vikao vya maombolezo kwa aji
-
nini maana ya usemi usemao kuwa: kumzuru Imamu Husein (a.s) ni sawa na kumzuru Mola kwenye Arshi yake”?
11592
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Imamu Husein bin Ali a.s ambaye ni Imamu wa tatu wa Kishia ni mtu mwenye fadhila kubwa mbele ya Mola wake na fadhila hizo amezipata kwa kutokana na malengo yake matendo kutojitanguliza mbele katika ma
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
8240
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Katika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
10604
2012/05/23
Elimu ya Hadithi
Rejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu Ziara za siku ya Ashura ni vitabu viwili navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa far bin Muhammad bin Quulewaih