HAZINA YA MASWALI (STIKA:dini)
-
kwa mtazamao wa Kiislamu, mwanaadamu ni kiumbe gani?
11182 2012/05/26 Elimu mpya ya AkidaKwa mtazamo wa Qur-ani mwanaadamu ni kiumbe aliyebeba sifa mbili tofauti za kimaumbile moja ni ile inayotokana na maumbile aliyopewa tokea mwanzo kutoka kwa Mola wake nayo ni maumbile ya kiroho na ya
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
11343 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika
-
vipi Ukristo umeweza kuzifikia hatua mbali mbali za mabadiliko yake ndani ya uwanja wa kihistoria? Na ni jambo gani hasa lililosababisha kutokea upotoshaji wa dini ndani ya dini hii ya Kikristo?
10922 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaWakristo walipokuwa wakiishi katika zama ambazo Isa a.s alikuwa tayari ameshapaishwa mbinguni na Mola wake jukumu la kulingania dini lilishikwa na mitume pamoja na wafuasi wake Hawariyyuun waliokuwep
-
je dini na siasa ni vyenye kuendana au vyapingana?
12314 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaDini ni chombo maalumu kilichokuja kumkomboa mwanaadamu na kumuongoza katika njia ya mafanikio hivyo basi ni jambo lisiloingia akilini kuwa chombo hichi kiwe ni chenye kulipa mgongo jambo muhimu linal
-
nini maana ya neno (dini)? Au dini hasa ni kitu gani?
50035 2012/05/23 Falsafa ya DiniWamagharibi wametumia ibara mbali mbali ili kupata maana muwafaka inayowafikiana na neno dini na neno dini ndani ya Qur-ani limetumika huku likibeba maana mbili tofauti nazo ni kama ifuatavyo: 1- d
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
9970 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaTukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa