HAZINA YA MASWALI(STIKA:historia ya dini)
-
vipi Ukristo umeweza kuzifikia hatua mbali mbali za mabadiliko yake ndani ya uwanja wa kihistoria? Na ni jambo gani hasa lililosababisha kutokea upotoshaji wa dini ndani ya dini hii ya Kikristo?
11174 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaWakristo walipokuwa wakiishi katika zama ambazo Isa a.s alikuwa tayari ameshapaishwa mbinguni na Mola wake jukumu la kulingania dini lilishikwa na mitume pamoja na wafuasi wake Hawariyyuun waliokuwep