HAZINA YA MASWALI(STIKA:kunufaika)
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
9662 2012/06/17 Tabia kimatendoUislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu kama vile zilivyo fanya dini nyengine kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake au mahitaj