HAZINA YA MASWALI (STIKA:Imamu Husein (a.s))
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
13762 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaWajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
je hili shairi lisemalo: “mfalme wa wote ametupwa chini, na medali ya pambo (kichwa cha Imamu Husein) ikachokwa juu ya mshale, kichwa kile hakikuwa ni cha kawaida, bali ni shina na kibla kinachoelekewa na nyoyo zenye kufuata taa ya upendo” ambalo linadaiwa kuwa ni la Allaama Shaa’araniy, je kweli shairi hili linatokana naye?
8346 2012/05/23 تاريخ بزرگانKitabu Dam-us-sajuum ni tarjama ya kitabu maarufu cha maombolezo kinachotokana na Haaj Sheikh Abbaas Qummiyi ambaye ni muandishi wa kitabu Mafaatihul-jinaan. Kitabu Dam-us-sajuum kimepigwa chapa na ki
-
je ni kweli kuwa Imamu Hsein (a.s) alifunga ndoa na bibi Shahre-Baanu?
8816 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala la ndoa ya Imamu Husein a.s na bibi Shahre Baanu aliyetekwa na jeshi la Kiisalamu ni suala liliozungumziwa na vitabu vya historia huku likiwa na rangi mbali mbali za Ibara zenye kutofautiana baa
-
ni kwa nini maombolezo ya Imamu Husein (a.s), yakapewa jina la Raudha?
9839 2012/05/23 تاريخ کلامNeno Raudha ni neno maalumu linalotumiwa na waombolezaji wa mwauwaji ya Imamu Husein a.s na neno hili linatoka kwenye kitabu maarufu cha maombolezo ya Imamu Husein a.s kijulikanacho kwa jina la Raud
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
13835 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel
-
je Imamu Khomeiniy (r.a) alikuwa anaamini kuwa kuadhimisha kwa kilio na maombolezo siku ya kuuwawa Imamu Husein (a.s), ndiyo sababu iliyoufanya Uislamu kubaki hai na imara tokea zama za Maimamu (a.s) hadi leo? Na kama alikuwa na imani hiyo, basi ni kwa msingi gani?
8077 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Khomeiniy r.a alitilia mkazo sana katika mazungumzo yake ya mara kwa mara ya kwamba: muhanga wa Imamu Husein a.s pamoja kuadhimisha siku ya muhanga huo kwa kuandaa vikao vya maombolezo kwa aji
-
Je kuna ukweli wowote kuhusiana na madai yasemayo kuwa: Imamu Husein (a.s) alimuandikia Habibu bin Madhahir barua isemayo: “kutoka kwa mtengwa kwenda kwa Habibu”?
6296 2012/05/23 تاريخ بزرگانSisi swali lako tumelifanyia utafiti na kulisaka katika maandiko mbali mbali yanayoelezea msiba wa Imamu Husein a.s vile vile tumeangalia ndani ya kitabu maarufu kijulikanachoa kwa jina la Luhuuf cha
-
je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
9780 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake wakiwemo aina mbali mbali za wanawake lakini bado alikuwa hatos
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
11098 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
8281 2012/05/23 تاريخ بزرگانMitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
11529 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7102 2012/05/23 تاريخ بزرگانWaandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu