HAZINA YA MASWALI(STIKA:ibada)
-
Tafadhali naomba munieleweshe, nini maana ya hijja kilugha?
6371 2018/01/24 حجHijja kilugha; Ni kukisudia na kukiendea kitu au jambo fulani. [ 1 ] Neno hijja Kisheria na kitaalamu; Neno hijja kisheria ni lenye kuashiria aina maalumu ya ibada yenye kutendeka mahala maalumu kwa
-
maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu?
12594 2012/05/23 Tabia kimatendoIwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: و ما خلقت الجن و الانس الا لیع