HAZINA YA MASWALI(STIKA:mtengwa)
-
Je kuna ukweli wowote kuhusiana na madai yasemayo kuwa: Imamu Husein (a.s) alimuandikia Habibu bin Madhahir barua isemayo: “kutoka kwa mtengwa kwenda kwa Habibu”?
6802 2012/05/23 تاريخ بزرگانSisi swali lako tumelifanyia utafiti na kulisaka katika maandiko mbali mbali yanayoelezea msiba wa Imamu Husein a.s vile vile tumeangalia ndani ya kitabu maarufu kijulikanachoa kwa jina la Luhuuf cha