HAZINA YA MASWALI(STIKA:damu)
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
11721 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika