HAZINA YA MASWALI(STIKA:nuru)
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
14491 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel