Jumatano, 27 Septemba 2023
-
je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
20758
2012/05/23
Sheria na hukumu
Mtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura kama vile dharur
-
je kuutangaza mwezi ni jukumu la wanazuoni wote kwa ujumla, au ni jukumu tu la kiongozi (mwanafiqhi / kadhi) mkuu wa dini nchini?
9088
2012/05/23
Sheria na hukumu
Fani ya Fiqhi iliyo katika nyanja za juu iliyobobea huwa inampa mtu uwezo maalumu wa kuzivua na kuziopoa hukumu kuu za kisheria kutoka katika machimbuko yake ambayo miongoni mwayo ni zile ibara za Qu
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7287
2012/05/23
Nyenendo za wanazuoni
Imamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
7897
2012/05/23
Sheria na hukumu
1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
8562
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Mitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
13639
2012/05/23
Sheria na hukumu
Tokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
ni zipi funga zilizo zisizofaa kwa mtazamo wa imam Shafi, Hanafi na Maalik?
14023
2012/05/23
Sheria na hukumu
Masiku yasiyofaa kufunga saumu mbele ya imam Abu Hanifa ni: siku ya idi ndogo na idi kubwa pia kufunga siku ya mwezi 11 12 na 13 ya mwezi wa Dhil-hijja pia kufunga ndani ya idi pili hadi nne za idi ya
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
11837
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Kuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
10584
2012/05/23
Sheria na hukumu
Mtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili y
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7261
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Waandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu
-
nini hukumu ya kupiga sindano ya nguvu au kutia maji ya nguvu (Intravenous injection) mwilini ndani ya Ramadhani?
9574
2012/05/23
Sheria na hukumu
Wanazuoni wamekhitalifiana kuhusiana na suala hilo. Kwa kupata jawabu tosha ni lazima utuambie kuwa wewe ni mfuasi wa mwanazuoni gani? Ili tuweze kukupa jawabu makini zaidi. Kwa vyovyote vile mitazamo
-
je mababu na wana wa Maalik Ashtar walikuwa ni wapenzi na wanaumini wanao uunga mkono uongozi wa Ahlul-Bait (a.s)?
7556
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Kwa kweli hakuna kitabu miongoni mwa vitabu maarufu vya Tarehe vyenye kutegemewa kilichozungumzia na kuthibitisha suala la hali halisi juu ya wazee wa Maalik Ashtar bali tu kinachofahamika kuhusiana n
-
kuna ulazima gani wa kuonekana kwa mwezi kwa ajili ya Ramadhani? Na mbona suala hilo hailizingatiwi sana ndani ya miezi iliyobakia?
8195
2012/05/23
Falsafa ya Sheria na hukumu
Suala la kuonekana kwa mwezi ni lenye umuhimu ndani ya miezi yote lakini suala hilo huwa ni lenye kupewa kipau mbele zaidi ndani ya mwezi wa Ramadhani kwa kutokana na ulazima wa ibada ya funga iliyomo
-
iwapo mtu ndani ya usiku wa mwezi wa Ramadhani atabakia na janaba hadi wakati wa adhana ya asubuhi kwa makusudi bila ya kukoga, mtu huyo atatakiwa kufanya nini? Je ailipe ile siku moja tu, au pia atatakiwa kulipa fidia?
21202
2012/05/23
Sheria na hukumu
iwapo mtu atawajibikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani naye kwa makusudi akabakia na janaba hadi adhana ya asubuhi anaweza yeye akatayamamu katika nyakati za mwisho kabisa kabla ya kuadhiniwa adhana hiyo
-
vipi Ukristo umeweza kuzifikia hatua mbali mbali za mabadiliko yake ndani ya uwanja wa kihistoria? Na ni jambo gani hasa lililosababisha kutokea upotoshaji wa dini ndani ya dini hii ya Kikristo?
10908
2012/05/23
Elimu mpya ya Akida
Wakristo walipokuwa wakiishi katika zama ambazo Isa a.s alikuwa tayari ameshapaishwa mbinguni na Mola wake jukumu la kulingania dini lilishikwa na mitume pamoja na wafuasi wake Hawariyyuun waliokuwep
-
je dini na siasa ni vyenye kuendana au vyapingana?
12304
2012/05/23
Elimu mpya ya Akida
Dini ni chombo maalumu kilichokuja kumkomboa mwanaadamu na kumuongoza katika njia ya mafanikio hivyo basi ni jambo lisiloingia akilini kuwa chombo hichi kiwe ni chenye kulipa mgongo jambo muhimu linal
-
hivi mvuta sigara aweza kuvuta sigara hali akiwa amefunga?
6886
2012/05/23
Sheria na hukumu
Wanazuoni wote wa Kifiqhi wanasema kuwa: ni wajibu wa kila mwenye funga kuchukuwa tahadhari na kutofikisha kitu chochote kile kama vile tumbaku au moshi wa sigara ndani ya koo yake. [ 1 ] Na hakuna
-
iwapo mtu ataiharibu funga yake kwa makusudi, huku akawa hawezi kuifidia funga hiyo kwa kutokana na ugumu wa masharti, kwani utowaji wa fidia katika njia ulipaji wa funga iliyoharibiwa kwa makusudi, ni mgumu mmno. Mtu kama huyo basi itambidi afanyaje? Baada ya kuzingatia kuwa yeye hawezi kuwashibisha maskini sitini wala kumwachia huru mtumwa, na pia hawezi kufunga miezi miwili mfululizo, je atowe tu kiwango akiwezacho kukitowa na kuwapa maskini?
7475
2012/05/23
Sheria na hukumu
Wanazuoni wa Kifiqhi wanasema kuwa: mtu atakayeiharibu funga yake kwa makusudi antakiwa ima amtowe huru mtumwa [ 1 ] au afunge miezi miwili mfululizo au awalishe mlo mmoja maskini sitini mpaka washibe
-
iwapo amri za baba zitapingana na za mama, mwana atakuwa na anawajibu gani katika hali kama hiyo?
12393
2012/05/23
Tabia kimatendo
Miongoni mwa amri kuu alizoamriswha mja na Mola wake baada ya ile amri ya kumpwekesha Mola wake ni kwatii wazazi wawili. Kuhusiana na swali lililoulizwa hapo juu pamoja na hali halisi iliyotajwa
-
nini maana ya neno (dini)? Au dini hasa ni kitu gani?
49996
2012/05/23
Falsafa ya Dini
Wamagharibi wametumia ibara mbali mbali ili kupata maana muwafaka inayowafikiana na neno dini na neno dini ndani ya Qur-ani limetumika huku likibeba maana mbili tofauti nazo ni kama ifuatavyo: 1- d
-
Qur-ani ina aina tatu kuu za miujiza ndani yake: A- muujiza wa maneno yake. B- muujiza wa yale yaliyomo ndani yake. C- muujiza kwa upande wa Yule aliyekuja na Qur-ani (s.a.w.w).
Ni kiwango gani basi cha uzito wa dalili unaopatikana ndani ya kila mmoja kati ya miujiza hiyo katika njia za kusimamisha dalili ithibitishayo kuwa: Qur-ani ni yenye kutokana na Mola Mtakatifu?
13480
2012/05/23
Elimu za Qur-ani
Tukitoa jawabu ya kiujumla jamala kuhusiana na swali hilo lililoulizwa hapo juu tunasema kuwa: si katika zama za zamani au za hivi sasa tu bali katika zama zote hakujawahi kutokea mtu aliyeweza kuja n
-
Qur-ani ni muujiza wa mtume wa mwisho (s.a.w.w), muujiza wake basi uko katika hali gani?
12324
2012/05/23
Elimu za Qur-ani
Kuna hali tatu za kimiujiza zilizotajwa kuhusiana na muujiza wa Qur-ani: muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani muujiza wa yale yalioomo ndani yake na muujiza wa Yule aliyekuja na Qur-ani s.a.w.w
-
je kuna haja ya kumkhofu Mola au tunatakiwa kuwa na mapenzi Naye?
8936
2012/05/23
Tabia kimatendo
Suala la mtu kuwa na khofu huku akiwa na matarajio ya kheri na kwa upande wa pili akawa na mapenzi ya Mola wake huwa si suala la kushangaza kwa mambo hayo mawili hayapingani katika kuwepo kwake kwani
-
nini maana ya neno (kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر) lililonasibishwa na Mungu ndani ya Qur-ani?
18387
2012/05/23
Tafsiri
Neno kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر humaanisha utafutaji wa hila au njia katika kulifikia jambo fulani na yawezekana mtu kutafuta hila na njia za kuyafikia mazuri au mabaya. Ujanja wa Mu
-
Nini maana ya Feminism?
14804
2012/05/23
Sheria na hukumu
Neno Feminism linatokana na lugha ya Kifaransa ambalo asili yake ya Kilatini ni Femind neno hili hutumika katika lugha mbali mbali huku likiwa na maana moja inayomaanisha uke au jinsia ya kike ijapok
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
9952
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Tukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa
-
jee mwanaadamu ni mwenye uhuru katika matendo yake? Na kama yeye ni mwenye uhuru, basi mipaka ya uhuru wake ikoje?
8341
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Mara nyingi mwanaadamu akiwemo katika msafara wa maisha yake binafsi hujikuta akiwa ni mpweke na mgeni ndani ya msafara huo. Lakini hakuna budi kila mmoja wetu kuwemo ndani ya msafara huo. Ukiizingati
-
kwa nini Mola mtukufu hakuwahidi walimwengu wote na kuwafanya wawe ni watu wa kheri walioongoka?
10785
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Namna ilivyotumiwa Aya iliopita hapo juu ambayo ni Aya ya 13 ya Suratu Sijda katika usimamishaji wa dilili hiyo iliyosema kuwa: Mola hakuwaongoza viumbe wake haikuwa sawa. Kwa sababu ni wazi kabisa ku
-
kwa nini tuwe wakalidi (wafuasi)?
7373
2012/05/23
Sheria na hukumu
Ruhusa ya kumfuata ulamaa maalumu katika matendo ya ibada za kila siku inatakiwa kutolewa na akili ya mtu mwenyewe. Na wala ruhusa hiyo haingojewi kutoka kwa Maulamaa huku kila mmoja akielewa umuhimu